Virusi vya corona: Matumizi makubwa ya nguvu za polisi na athari zake

Virusi vya corona: Matumizi makubwa ya nguvu za polisi na athari zake

Africa Eye inafanya uchunguzi athari zilizotokana na virusi vya corona katika kitongoji cha Mathare, moja kati ya makazi duni nchini Kenya.

Wakati maambukizi yakiendelea kushika kasi, vitendo vya polisi kutumia nguvu vimesababisha vurugu na vifo.

Mwandishi wa habari Elijah Kanyi anauliza : Je tiba inaua kuliko virusi?