Lata Kare: Ajuza mwenye umri wa miaka 68 anayekimbia bila viatu kuokoa maisha ya mume wake

Lata Kare: Ajuza mwenye umri wa miaka 68 anayekimbia bila viatu kuokoa maisha ya mume wake

Lata Kare ni ajuza mwenye umri wa miaka 68.

Kwa kipindi cha miaka mitatu iliopita amekimbia na kushinda mbio za marathon za kilomita 3 katika eneo la Maharashatra, magharibi mwa India.

Hivyo ndivyo ambavyo amekuwa akilipia tiba ya mumewe, hadithi yao imevutia filamu