Ugonjwa wa hedhi unaosababisha madhara makubwa kwa wahusika

Ugonjwa wa hedhi unaosababisha madhara makubwa kwa wahusika

Tatizo la hedhi huwa ni nadra sana kugundulika. Hali hiyo inaweza kufanya wanawake kuhisi kuwa na ugonjwa wa sonona, wasiwasi na hata kufikiria kujiua na kushindwa kujidhibiti anapokuwa kwenye hedhi. Ugonjwa huo inakadiriwa kwamba unaathiria mwanamke mmoja kati ya 20 na mwaka jana ulitambuliwa na Shirika la Afya Duniani.