Pomboo wanaswa kwenye kamera wakiruka juu kwa kasi
Pomboo wanaswa kwenye kamera wakiruka juu kwa kasi
Pomboo hawa karibu 300 walinaswa kwenye kamera wakisafiri kwa mwendo katika kituo cha Dana kusini mwa Califonia. Tazama jinsi walivyokuwa wakiruka majini kwa kasi…Watazamaji walifurahishwa na jinsi walivyoweza kusalia juu ya maji kwa muda mrefu kana kwamba wana paa angani