Vioo vya kihistoria vyaharibika kwa mlipuko Beirut

Vioo vya kihistoria vyaharibika kwa mlipuko Beirut

Beirut ina historia ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 15 na wengi wao walikuwa na vioo vya kihistoria vilivyorejeshwa tena na msanii mmoja. Maya Husseini aliangalia kazi yake ya miaka 20 ikipotea baada ya mlipuko mkubwa kukumba mji wa Beirut. Na sasa hivi amedhamiria kuvirejesha tena.