Watoto wa Martin Luther King, Malcolm X na Kwame Nkrumah waelezea hali ya ubaguzi Marekani

Watoto wa Martin Luther King, Malcolm X na Kwame Nkrumah waelezea hali ya ubaguzi Marekani

Hiki ndicho kinachosemwa na mabinti wa wanaharakati viongozi mashuhuri wanachokifikiria kuhusu kinachoendelea hivi sasa.

Wakati huu wa Kampeni za Black Lives Matter, Marekani inakumbuka miaka 57 ya ' hotuba ya 'I Have a Dream'.

Mtoto wa Martin Luther King, Malcom X na Kwame Nkurumah wanatathimini hali ya mahusiano ya watu walio na rangi tofauti nchini Marekani.