'Nilimwambia mama mimi mwanao,bado niko hai'

'Nilimwambia mama mimi mwanao,bado niko hai'

''Nilimwambia mama mimi mwanao,bado niko hai'.

Yiech Pur Biel alitengana na familia yake baada ya kijiji chao Sudan Kusini kushambuliwa mwaka 2005.

Baada ya kuhamia katika kambi ya wakimbizi nchini Kenya, Pur aligundua kipaji chake cha kukimbia na kushiriki mashindano ya riadha ya Olympiki 2016 katika timu ya wakimbizi.

Mashindano hayo ya Olympiki ndio yalimsaidia kukutana na mama yake.