Kina mama wanaowasihi wanao kutojitoa uhai

Kina mama wanaowasihi wanao kutojitoa uhai

Doreen na Elaine walihusika kuanzisha vuguvugu la ‘Please Stay’ nchini Singapore , wakiangazia masuala ya afya ya vijana na kujitoa uhai.

Wao na wanachama wengine wana hadithi zisizo za kawaida: Wote ni akina mama ambao watoto wao walijitoa uhai .

Wanawake hao wawili wanaelezea kwanini kujitoa uhai na shinikizo la mawazo yanasalia kuwa masuala ambayo ni mwiko nchini Singapore – taifa ambalo limesajili ongezeko la wanaume husuasan vijana kujitoa uhai katika miaka ya hivi karibuni.