Maafisa waliohusika na ufisadi wa mamilioni ya madola kuhusiana na vifaa vya corona Kenya kutajwa

Maafisa waliohusika na ufisadi wa mamilioni ya madola kuhusiana na vifaa vya corona Kenya kutajwa

BBC imegundua kwamba takriban maafisa 15 wa Kenya pamoja na wafanyabiashara wamependekezwa kushtakiwa kuhusiana na madai ya wizi wa mamilioni ya madola zilizotolewa kununua vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona.

Wachunguzi wamegundua jinsi zabuni za serikali zilivyotolewa kwa watu walio na uhusino wa karibu na wanasiasa na wafanyabiashara kinyume na masharti ya zabuni Kenya.

Ripoti: Emmanuel Igunza