Uchaguzi Tanzania 2020: Ni namna gani ninaweza kupiga kura

Uchaguzi Tanzania 2020: Ni namna gani ninaweza kupiga kura

Wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi mkuu baadae mwezi Oktoba, tunaangazia namna ambavyo wapiga kura watapitia mchakato wa upigaji kura na yale yanayopaswa kufanywa ili kufanya kura kuwa na uhalali. Video na Aboubakar Famau, Anthony Irungu na George Wafula.