Tetemeko la ardhi Uturuki: Tazama Mtoto wa miaka mitatu alivyookolewa baada ya saa 65

Tetemeko la ardhi Uturuki: Tazama Mtoto wa miaka mitatu alivyookolewa baada ya saa 65

Mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa amekwama ndani ya kifusi cha jengo lililoporomoka kwa karibu siku tatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki ameokolewa. Waokoaji wamekuwa wakitatufuta manusura zaidi wa tetetmeko hilo kubwa zaidi kukumba mji wa badari wa Izmir siku kadhaa zilizopita.