Twiga wasafirishwa kwenye boti ya aina yake wakihamishwa makazi

Twiga wasafirishwa kwenye boti ya aina yake wakihamishwa makazi

Twiga waliokwama kisiwani wanaokolewa kwa ubunifu wa aina yake kutoka eneo moja kwenda nyingine.

Twiga hao wanaondolewa eneo ambalo lilikuwa linajaa maji-na hivi ndivyo wanavyosafirishwa;