Kuapishwa kwa rais mteule Joe Biden: Tazama rais Donald Trump akiondoka katika Ikulu ya White House kwa picha

Ndege ya Marine One katika Ikulu ya White House ikimsubiri kumsafirisha rais Donald Trump

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Ndege ya Marine One katika Ikulu ya White House ikimsubiri kumsafirisha rais Donald Trump

Ndege ya Marine One ikitua katika Ikulu ya White House huku rais Trump akisubiri

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Ndege ya Marine One ikitua katika Ikulu ya White House huku rais Trump akisubiri

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

IAkizungumza na wanahabari muda mfupi kabla ya kupanda ndege ya Marine One , rais Trump alisema kwamba Ikulu ya White House ilikuwa nyumba bora zaidi duniani

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Rais Donald Trump na Mkewe Melania Trump wakiondoka katika Ikulu ya White House

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Trump na mkewe Melania Trump akielekea kupanda ndege ya Marine One

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Ndege ya Marine One katika ikulu ya White House

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Ndege ya Marine One ilipokuwa ikiondoka katika ikulu ya White House