Biashara ya ngono inavyowagharimu makahaba Sierra Leone

Biashara ya ngono inavyowagharimu makahaba Sierra Leone

Nchini Sierra Leone, wafanyabiashara ya ngono mara nyingi huonekana kama watu wasio na maadili wanaopaswa kutengwa na kuepukwa.

BBC Africa Eye inachunguza madhila wanayopitia wafanyabiashara ya ngono nchini humo na kugundua kuwa wengi wananyanyaswa, kusafirishwa na hata kuuawa.

Na kama Tyson Conteh anavyoripoti kutoka Makeni, Kaskazini mwa Sierra Leone, maisha yao yamekuwa hatarini zaidi tangu kuibuka kwa janga la corona.