Kifo cha Rais Magufuli: Rastafari wa Mwanza wamfanyia ibada kiongozi huyo wa Tanzania
Kifo cha Rais Magufuli: Rastafari wa Mwanza wamfanyia ibada kiongozi huyo wa Tanzania
Rastafari wa Mwanza wenye itikadi za kipekee wamefanya ibada maalumu ya kumuombea hayati Rais John Pombe Magufuli wakisisitiza alikuwa ni shujaa
Vilevile wamemuombea Rais Mpya Samia Hassan Suluhu hekima ya kutimiza kwa ukamilifu na uadilifu majukumu yake na kuendeleza mema yote yaliyo achwa na mtangulizi wake.