Ellen Johnson Sirleaf: Samia Suluhu Hassan atarajie upweke kama rais wa pekee wa kike Afrika

Ellen Johnson Sirleaf: Samia Suluhu Hassan atarajie upweke kama rais wa pekee wa kike Afrika

Aliyekuwa Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf kwa mara ya kwanza amezungumza kuhusu rais wa Kike na wa pekee barani Afrika Samia Hassan Suluhu akisema kwamba atarajie upweke.

Amesema kwamba japo Samia atakaribishwa katika familia ya viongozi unatazamwa na wanaume kama mtu ambaye alitumia nguvu kuingia katika eneo lao