Kifo cha Rais John Magufuli: Fahamu mila na desturi za kuzika mwili Kisukuma Tanzania

Kifo cha Rais John Magufuli: Fahamu mila na desturi za kuzika mwili Kisukuma Tanzania

Kila jamii huwa na tamaduni zake katika matukio mbalimbali ikiwemo mazishi. Fahamu mila na desturi za kuzika wafu katika jamii ya Wasukuma anayotoka Rais wa zamani wa Tanzania, hayati John Pombe Magufuli.