Habari katika Picha: Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza wengine kuweka mashada ya maua katika kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Samia suluhu akiweka shada la maua

Chanzo cha picha, Maelezo

Maelezo ya picha,

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza viongozi mballimbali wa serikali kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambapo aliyezikwa jana Machi 26, 2021 nyumbani kwake Chato mkoani Geita.

Chanzo cha picha, Maelezo

Chanzo cha picha, Maelezo

Maelezo ya picha,

Mama Janeth Magufuli akipewa shada la maua

Soma zaidi:

Chanzo cha picha, Maelezo

Chanzo cha picha, Maelezo

Maelezo ya picha,

Mama Jeneth Magufuli (katikati) akiweka shada la maua katika kaburi la muwe wake Dkt. John Pombe Magufuli

Chanzo cha picha, Maelezo

Maelezo ya picha,

Watoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao

Chanzo cha picha, Maelezo

Maelezo ya picha,

Viongozi wa dini wakiweka shada la maua katika kaburi la Rais Magufuli

Chanzo cha picha, Maelezo