Umuhimu wa fimbo kwa Kabila la Iraqw Tanzania

Umuhimu wa fimbo kwa Kabila la Iraqw Tanzania

Je wajua kuwa kabila la wa Iraqw ama Cushitic wa nchini Tanzania fimbo ni muhimu kuliko nyumba kwa wanaume.

Jamii hii yenye makao yake makuu kwenye kitovu cha utamaduni wa Afrika Hydom Mkoani Manyara Kaskazini mwa Tanzania ni kosa kwa mwanaume kutembea bila fimbo akiwa nje ya nyumba yake lakini pia fimbo hutumika kuashiria mambo kadhaa.

Mzee Modest Gilio aliongea na Mwandishi wetu Eagan Salla na Hii hapa ni simulizi yake;