Kobe huyu aliwezaje kumla ndege?

Kobe huyu aliwezaje kumla ndege?

Ukidharau mwendo wa pole pole wa kobe basi fahamu uwezo wake pia kwani kobe mmoja amenaswa katika kamera akimla ndege.

Kwa kawaida ndege huwa na uwezo wa kupaa na kutoroka hatari lakini huyu hakuwa na uwezo wa kupaa.

Mwana mazingira Anna Zora anaelezea jinsi ailivyoshuhudia tukio hilo.