Shambulio Tanzania: “Hamza ametuumiza” zasema familia za askari waliouawa Dar es Salaam

Shambulio Tanzania: “Hamza ametuumiza” zasema familia za askari waliouawa Dar es Salaam

Miili ya Askari wanne akiwemo mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi waliouwawa kwenye shambulio la risasi juzi jijini Dar es Salaam imeagwa leo kijeshi katika viwanja vya Polisi Kilwa Road Dar es Salaam ambapo shughuli hiyo imeongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Tanzania, George Simbachawene pamoja na Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro.

VIDEO: Eagan Salla