Kwa nini ni vigumu kwa watu wanaoishi katika maeneo ya volkano kuhama?

Kwa nini ni vigumu kwa watu wanaoishi katika maeneo ya volkano kuhama?

Oldoinyo Lengai kwa tafsiri ya kiswahili kutoka kimasai ni mlima wa Mungu.

Jamii ya Wamasai huthamini sana mlima huu na wanadai kuwa ni njia wanayotumia kuwasiliana na Mungu.

Mlima huu una volkano hai na kwa mujibu wa watalamu hulipuka kila baada ya miaka mitano ama saba.

Lakini mbali na hatari za mlipuko wa volkano wakazi wa eneo hilo hawana uoga wowote.

Video: Munira Hussein.