India: Masomo hayana uzee - hata kwa aliye na miaka 104

India: Masomo hayana uzee - hata kwa aliye na miaka 104

Kuttiyamma ametumia maisha yake kuwajali wengine. Hakusoma shule na aliolewa akiwa na umri wa miaka 16. Sasa, akiwa na miaka 104, amepata alama za juu katika mtihani wa kusoma na kuandika nchini India. Kuttiyamma alitiwa moyo kujifunza kusoma na kuandika na wajukuu zake