Miaka 60 ya uhuru: Mfahamu Jaji wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki Julie Manning
Miaka 60 ya uhuru: Mfahamu Jaji wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki Julie Manning
Julie Manning ni jaji wa Mahakama Kuu wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki na kati pia aliwahi kuwa waziri wa Sheria.
Bi. Manning pia ni mmoja wa wanafunzi kumi na wanne wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mstaafu huyo wa umri wa miaka 82 sasa amemueleza mwadishi wetu Regina Mziwanda masuala mbalimbali muhimu kwanza ni namna alivyojiunga chuo kikuu miaka 60 iliyopita.