Consolata Lubuva: Mwanafunzi bora wa kidato cha nne Tanzania azungumzia mbinu alizotumia kufaulu

Consolata Lubuva: Mwanafunzi bora wa kidato cha nne Tanzania azungumzia mbinu alizotumia kufaulu

Ni muhitimu wa kidato cha nne aliyeongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa akielezea baadhi ya mbinu alizozitumia kuhakikisha anapata ufaulu wa juu na kuibuka kidedea katika mitihani ya kumaliza kidato cha nne kwa mwaka 2021

Je wewe ni mwanafunzi, mwalimu au mzazi, kupitia mwanafunzi huyu machachari katika masomo utapata cha kujifunza

Akiwa nyumbani anapenda kuimba, kucheza muziki na kupiga kinanda, haya yote yanafanyika huku akizingatia vizuri masomo yake.

Mwandishi wa BBC frankmavura alimtembelea nyumbani kwao Salasala jijini Dar es salaam na kutuandalia taarifa ifuatayo.