5 Julai, 2010 - Imetolewa 19:31 GMT

Mshabiki wa Brazil ajiua Haiti

Huko Haiti, mshabiki wa timu ya Brazil mwenye umri wa miaka 18 alifadhaika baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Dunia kiasi cha kujirusha ili agongwe na gari. Kijana huyo amekufa kutokana na majeraha aliyoyapata.

Kuza picha

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.