Uhispania washindi wa Kombe la Dunia

Image caption Uhispania, washindi wa Kombe la Dunia 2010

Andres Iniesta alifunga goli dakika nne kabla ya muda ulioongezwa kumalizika na kusababisha Uhispania kupata ushindi wao kwa mara ya kwanza kwenye Kombe la Dunia kwa bao 1-0 dhidi ya Uholanzi.