Miilii 4 yapatikana kwa migodi ya Zuma

Image caption Afrika Kusini

Msemaji wa polisi Noxolo Kweza amesema, wanachunguza taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari kwamba watu hao wanne .Wengine kumi na sita wanaoshukiwa kuwa ni wachimbaji haramu wa migodi waliuawa kwa kupigwa risasi na walinzi Jumatatu katika mgodi wa Grootvlei, mashariki mwa Johanesburg.

Serikali ya ANC imelaani mauaji hayo, migodi haramu yaliyofanywa na walinzi, na kusema polisi itashughulikia tatizo hilo.

Mgodi wa Grootvlei unamilikiwa na kampuni ya Aurora, ambayo afisa wake mkuu ni mpwa wa rais zuma Khulubuse Zuma. Mkurugenzi wake ni mjukuu wa Mandela, Zondwa Mandela.