Huwezi kusikiliza tena

Kitahanani kilichowakumba Japan

Katika mjadala wetu leo hii, tunaingalia hali iliyoikumba Japan.

Mawimbi makubwa ya bahari yalizoa kila kitu maeneo yalipopita.

Treni zilisombwa na meli kubwa kubwa hazikuweza kustahimili nguvu hiyo, sembuse magari.

Sikiliza walioshuhudia na mtaalamu akielezea zaidi.

.