Tanzania, Kenya zatamba

Tanzania imeizaba Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa mabao mawili kwa moja kwenye mchezo uliofanyika Tanzania.

Kenya nayo ikaizaba Angola kwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.

Rwanda iwewachapa majirani zao Burundi kwa mabao 3-1.

Botswana imeinyuka Chad 1-0.