Huwezi kusikiliza tena

Mpinga mapenzi ya jinsia moja ashikwa

Mmoja wa wanaharakati wanaounga mkono muswada unaotatanisha wa kupinga uenezaji wa mapenzi ya watu wa jinsia moja nchini Uganda amewekwa ndani na walinzi wa Bunge, akituhumiwa kufanya mkutano kinyume na sheria nje ya Bunge.

Hata hivyo ameokolewa na Wwnzake akiwemo mpinzani mkuu wa mapenzi hayo Mchungaji Martin Sempa, pamoja na baadhi ya watu ambao siku za nyuma walikuwa wakifanya mambo hayo na sasa wanadai wameacha tabia hiyo.

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango ana maelezo zaidi.