Huwezi kusikiliza tena

Gbagbo- Uhadhiri hadi ubabe

Laurent Gbagbo alikuwa Rais wa Ivory Coast kwa muongo mmoja. Aliingia madarakani baada ya kufanyika kwa uchaguzi wenye utata ambapo aliponea chupuchupu njama za kumpindua na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo. Sikiliza safari ya mwanasiasa huyo aliyeanza kama mhadhiri wa chuo kikuu hadi kun'gan'gania madarakani.