5 Mei, 2011 - Imetolewa 15:51 GMT

Uhaba wa mafuta waathiri Kenya

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Kumekuwa na misururu mirefu ya magari na watu katika maeneo mbali mbali ya Kenya kutokana na uhaba wa mafuta ambao umejitokeza kwa siku kadhaa. Waziri wa Nishati, Kiraitu Murungi amesema serikali inatafakari mikakati ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa tatizo hilo ambalo hujirudia takriban kila mwaka. Katika video hii utaona jinsi watu wanavyosumbuka kupata mafuta ya kuendeshea magari yao.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.