Imebadilishwa: 11 Mei, 2011 - Imetolewa 15:30 GMT

Video

Upinzani watawanywa kwa maji ya pinki

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Polisi nchini Uganda wamewamwagia viongozi wa upinzani maji ya ragi ya pinki kuwazuia kufanya mkutano wa hadhara uliopigwa marufuku.

Baada ya kuwangiwa maji hayo, kiongozi wa chama cha DP, Nobert Mao alikamatwa.

Wiki hii, vyama vya upinzani vimeongeza kasi yao ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha, hali ambayo imesababisha mapambano kati ya polisi na waandamanaji.

Wakati huoho, Rais Yoweri Museveni amesema ili kupambana na ghasia anataka ianzishwe sheria mpya ya kuwanyima dhamana kwa miezi sita watu wanaokamatwa wakiandamana.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.