13 Mei, 2011 - Imetolewa 16:07 GMT

Kwaya za wafungwa Afrika Kusini

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Zaidi ya wa wafungwa 600 katika magereza mbalimbali nchini Afrika Kusini wanashiriki katika mashindano ya kwaya ya mwaka huu, ambayo lengo lake ni kujifunza kupitia sanaa. Wafungwa hawa wanatumikia vifungo virefu na vifupi kwa makosa mbalimbali. Wafungwa hao watashiriki baadaye mwaka huu katika mashindano ya kitaifa ya kwaya.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.