18 Mei, 2011 - Imetolewa 17:12 GMT

Sammy Wanjiru akumbukwa

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Wanariadha mashuhuri duniani pamoja na wapenzi wa riadha wamekuwa wakielezea masikitiko yao kufuatia kifo cha ghafla cha bingwa wa Olimpiki wa mbio za Marathon, Samuel Wanjiru wa Kenya.

Mwanariadha huyo wa Kenya alifariki dunia Jumapili usiku nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 24.

Polisi wameeleza kuwa alianguka baada ya kuruka kutoka kwenye baraza la ghorofa ya kwanza nyumbani.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.