Huwezi kusikiliza tena

E Coli asababisha vifo Ujerumani

Maafisa nchini Ujeremani wamesema majaribio ya awali ya michipuko ya maharage machanga kutoka jimbo la Lower Saxony, yanaonesha michipuko hiyo haina bacteria ya E Coli.

Wamesema sampuli 23 zimeoneysha hakuna dalili zozote za bakteria hiyo.

Mwandishi wetu Fredy Mtoi amezungumza na Dkt Mohammed Salim mtaalamu wa masuala ya Afya nchini Uingereza kuhusu bakteria E Coli.