Huwezi kusikiliza tena

Kikwete atoa ufafanuzi wa umeme

Katika mahojiano maalum na Rais Kikwete, mwandishi wetu, Omar Mutasa, kwanza alitaka kujua, pamoja na kutafuta wawekezaji ambao kimsingi watahitaji nishati ya umeme ya uhakika, kwa nini tatizo la umeme halijapatiwa ufumbuzi.