Abidjan inaomboleza

Serikali ya Ivory imetangaza siku tatu za maombolezi, baada ya watu 37 kufa katika ajali ya basi iliyotokea jana kwenye moja ya daraja kuu mjini Abidjan.

Haki miliki ya picha AFP

Waokozi walitumia tinga-tinga kulitoa basi mtoni, na kukuta wanaopoa maiti.

Serikali inasema uchunguzi umeanza kuhusu sababu ya ajali hiyo.