Huwezi kusikiliza tena

Watoto wa kike na wa kiume wanyanayswa

Mjadala huu unaangalia haki za watoto na sheria zinazowatunza.

Walioshiriki katika mjadala huu

1. Ni Justa Mwaituka, kutoka shirika lisilo la kiserikali KIWOHEDE nchini Tanzania linalohusika na masuala ya wanawake na watoto. Pia anatunza watoto waliokimbia madhila na vile vile KIWOHEDE ilihusika na uchunguzi huo wa Unicef.

2.Anna Henga Katemana, afisa kutoka Tume ya Sheria na Haki za Binadamu, Tanzania.

3. Adelaidi Muraya Ng'aru-Naibu Mkurugenzi wa idara ya watoto, Kenya

4. Mwalimu Musingizi Alex akiwa Bushenyi Magharibi mwa Uganda