Huwezi kusikiliza tena

Hali si shwari Libya

Ni yepi yanayoendelea nchini Libya na nini mustakbali wake??

Walioshiriki kwenye mjadala huu ni

1.Ahmed Rajab- Mchambuzi wa masuala ya Afrika na Mashariki ya Kati, alikuwa mjini Nairobi

2. Mohamed Abdulahi- Mchambuzi wa masuala ya Afrika, alikuwa studio za London

3. Mheshimiwa Richard Onyoka- Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, aliyekuwapo Addis Ababa kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika

Mjadala huu umeendeshwa na Zuhura Yunus