Huwezi kusikiliza tena

Askari wa Marekani wakojolea maiti

Jeshi la Marekani linachunguza video inayoonyesha watu wanne waliovaa sare za jeshi la majini wakiwakojolea kwa kile kinachoonekana kuwa ni maiti za wapiganaji wa kitaliban nchini Afghanistan. Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon ameelezea video hiyo kuwa yenye kukera na tabia isiyokubalika.