Kura za uchaguzi wa Angola zahisabiwa

Imebadilishwa: 1 Septemba, 2012 - Saa 09:47 GMT

Kura zinahisabiwa baada ya uchaguzi mkuu nchini Angola.

Wafuasi wa chama tawala cha MPLA

Mwandishi wa BBC mjini Luanda anasema ingawa kulikuwa na mvutano hapo kabla, lakini upigaji kura wenyewe wa Ijumaa unaonesha ulikwenda vema.

Huu ni uchaguzi wa pili tangu kumalizika kwa vita virefu vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Hata hivo kulikuwa na malalamiko kwamba kumetokea ulalamishi, huku baadhi ya wapigaji kura walikataliwa kura kwa sababu majina yao hayakuwemo kwenye daftari.

Rais Jose Eduardo dos Santos - ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 - anataraji chama chake kitashinda na hivo kumpa yeye muhula mwengine wa uongozi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.