Maandamano yafanywa Kano, Nigeria

Imebadilishwa: 22 Septemba, 2012 - Saa 14:09 GMT

Maelfu ya watu waliandamana mji wa Kano, wa pili kwa ukubwa nchini Nigeria, kupinga filamu iliyotengenezwa Marekani ambayo inakejeli Uislmau.

Maandamano yafanywa Kano, kaskazini mwa Nigeria

Mwandishi wa BBC mjini Kano anasema waandamanaji walibeba bendera za Marekani na Israil na kuziburura kwenye matope.

Polisi waliwafuata waandamanaji na hakujatokea ghasia.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.