Mkutano wa Francophone wamalizika

Imebadilishwa: 15 Oktoba, 2012 - Saa 07:30 GMT

Rais Joseph Kabila wa DRC

RCMataifa yanayozungumza Kifaransa yamemaliza mkutano wao wa kila miaka miwili, kwa kutoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuwawekea vikwazo wapiganaji wa mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.

Mkutano wenyewe umefanywa mjini Kinshasa.

Rwanda haikuunga mkono pendekezo hilo.

Mkuu wa shughuli za kuweka amani za Umoja wa Mataifa, Herve Ladsous, mwezi uliopita aliishutumu Rwanda kwamba inawasaidia wapiganaji wa kikundi cha M-23 mashariki mwa Congo, na kupelekea Umoja wa Mataifa na Muungano wa Ulaya kusimamisha msaada.

Rwanda inakanusha tuhuma hizo.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.