Waziri mkuu Somalia aidhinishwa

Imebadilishwa: 17 Oktoba, 2012 - Saa 13:59 GMT

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud

Bunge la Somalia limeidhinisha uteuzi wa waziri mkuu mpya Abdi Farah Shirdon.

Rais Hassan Sheikh Mohamud, aliyechaguliwa mwezi jana, alisema kuwa ana matumaini waziri mkuu huyo mpya atakabiliana na kile alichokiita hali ngumu inayokumba Somalia.

Wapiganaji wa kiisilamu wa Al-Shabaab bado wanadhibiiti sehemu kadhaa za nchi hiyo na wamefanya mashambulizi ya kujitoa mhanga mjini Mogadishu tangu kufurushwa kutoka ngome yao kubwa Kismayo mwishoni mwa mwezi Septemba.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.