Tazama Sema Kenya mjini Nakuru

Imebadilishwa: 19 Oktoba, 2012 - Saa 09:59 GMT

Je! kaunti ya Nakuru iko tayari kwa uchaguzi wa amani Machi mwaka ujao? Hili ndilo swali SemaKenya, mjadala mpya wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, ilinuia kupata jawabu wakati ilipozuru kaunti ya Nakuru hivi karibuni. Kufuatia maswali yaliyoulizwa na baadhi ya wakaazi, ilikuwa wazi kuwa kuna hatari ya vurugu kutokea tena iwapo serikali haitahakikisha kuna maridhiano ya kweli

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.