Akamatwa Taiwan kwa kuteketeza Hospitali

Imebadilishwa: 24 Oktoba, 2012 - Saa 08:05 GMT

Maafisa wa polisi nchini Taiwan wanamzuilia mzee mmoja ambaye anadhaniwa kuwa alianzisha moto uliosababisha vifo vya watu 12 hapo jana.

Polisi wanasema mshukiwa huyo ambaye anaugua saratani na aliyekuwa amelazwa katika hospitali hiyo alisikiaka akisema kuwa angefanya hivyo kwa sababu ugonjwa unampa dhiki zaidi.

Waathiriwa wengi hawakuwezwa kujiokoa. Watu wengine sitini walijeruhiwa katika moto huo uliotokea Tainan, kusini ya Taiwan.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.