Nyanyake Obama amchezea densi mjukuu

Imebadilishwa: 8 Novemba, 2012 - Saa 16:13 GMT

Media Player

Aliongoza wanakijiji wa Kogelo kusherehekea ushindi wa mjuu wake, ushindi ambao anasema hakuwa na shauku yoyote kuwa utafika

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Sarah Obama, nyanya wa kambo wa Rais wa Marekani,Barack Obama , aliongoza wanakijiji wa Kogelo kusherehekea ushindi wa mjuu wake , ushindi ambao anasema hakuwa na shauku yoyote kuwa utafika

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.