Matatu yashambuliwa Eastleigh Nairobi

Imebadilishwa: 18 Novemba, 2012 - Saa 15:46 GMT
Mji wa Nairobi

Watu kama watano wamekufa katika mripuko kwenye gari la "matatu" mjini Nairobi.

Taarifa za awali zinaonesha mripuko huo ulisababishwa na guruneti.

Shambulio hilo limetokea karibu na kanisa katika mtaa wa Eastleigh ambao una wakaazi wengi wa Kisomali.

Kumetokea mashambulio kadha mjini Nairobi tangu jeshi la Kenya kuingia Somalia mwaka jana.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.